Baadhi ya waandishi wa habari Mkoa wa Singida
wakiwa kwenye mafunzo ya kompyuta yaliyofanyika mjini Kiomboi chini ya ufadhili
wa Muungano wa Klabu za habari nchini (UTPC) na kusimamiwa na klabu ya habari
Mkoa Singida. Kutoka kushoto ni mwanahabari Damiano Mkumbo, Elisante Mkumbo
(mapicha), mkufunzi wa mafunzo hayo John Mnubi kutoka Iringa na wa mwisho ni
Festo Sanga.
No comments:
Post a Comment